MPEF YAFUNGA RASMI DIRISHA LA MAOMBI YA UFADHILI KWA AWAMU YA PILI
Mfuko wa Kichungaji wa Elimu Mtwara (MPEF) siku ya Jumatatu ya mwezi wa nane tar 1, 2022 imetangaza rasmi kufunga kwa dirisha la maombi ya ufadhili kwa awamu ya pili kwa mwaka wa masomo 2022/2023.