MPEF|NJIA ZA UCHANGIAJI








PROGRAMU ZA UCHANGIAJI

Mfuko wa Kichungaji wa Elimu Mtwara umebuni programu ambazo zinatumika kama njia ya uchangiaji wa Mfuko kwa ajili ya kusomesha wanafunzi wahitaji.

Kuna programu tisa zinazotumika