COR UNUM ET ANIMA UNA
Mfuko wa Kichungaji wa Elimu Mtwara (MPEF) siku ya alhamisi ya mwezi wa sita tar 8, 2023,
imetangaza rasmi kufungua kwa maombi ya ufadhili kwa mwaka wa masomo 2023/2024.
Pakua fomu yetu hapo chini ili uweze kuisoma na kuijaza kwa umakini.
Hakikisha unatuma maombi ya chuo kabla ya kutuma maombi ya ufadhili ili uweze kupata kidhibitisho kupitia
link: https://www.stemmuco.ac.tz/sas/index/ Maombi ya ufadhili yatumwe kwenye anuani ya barua pepe ifuatayo:sponsorship@mpef.or.tz
PAKUA FOMU YA UFADHILI HAPA. 💥BONYEZA HAPA!💥