MPEF-VIGEZO NA MASHARTI

Ndugu Mshiriki,

Karibu katika uchangiaji wa Mfuko wa Kichungaji wa Elimu Mtwara (Mtwara Pastoral Education Fund – MPEF) kwa njia ya kidigitali kupitia mitandao ya simu za mkononi.

Kabla, wakati, na baada ya kutumia mfumo huu, mshiriki mchangiaji anapaswa kusoma, kuelewa na kuzingatia masharti yafuatayo:

Nimeelewa na nakubali.